Articles by "Android"

Habari wapendwa nipo pamoja nanyi mpaka kieleweke leo tuzungumzie japo kwa uchache maelezo ya kufanya Root kwenye simu zetu za android 
kabla ya kuanza kuroot simu yako kutabatilisha warranty na muuzaji wako aliyekuuzia , pi root at your  own risk i will not be hold responsible for any negative outcomes


ANDROID ROOTING NI NINI?

Ni mchakato wa kuruhusu watumiaji wa smartphones, Tablet na vifaa vingine vinavyotumia Oparetion sysetm ya android kupata uwezo  kukiendesha kifaa au simu ya android katika kiwango cha hali ya juu

Rooting mara nyingi hutumika kwa lengo la kuondo overcome limitations ambazo zimewekwa na watengenezaji wa vifaa vya android 



FAIDA ZA KU-ROOT

Rooting ina faida nyingi kama vile kubadiri ROOM, Kuinstall  system  installed app ku install apps ambazo zinahitaji root  access kama vile TITANIUM BACK UP



JINSI YA KUROOT

Ku root android devices kunatofautiana kati ya simu na simu , hapa nitakupatia njia za ku root baadhi ya simu na baadhi ya vision za android



1) Huawei Idoes U8150


  • wengi wetu tuna miliki simu aina hii HUAWEI IDOES U8150 simu ya aina hii ni rahisi sana fuata utaratibu huu



Kisha zima simu yako kisha iwashe utakuta app inayoitwa SuperUser imeongezeka mpaka hapo utakuwa umesha root simu yako ya HUAWEI IDOES U8150



Natumai tutakuwa tumepata mwanga japo kwa uchache kuhusu Rooting kwenye simu zetu za android kama unaswali au maoni niachie hapo kwenye sanduku la maoni

Kuna njia mbili za kutoa Android pattern lock haswaa kama umekosea, njia ya kwanza ni ya kufanya hard reset kwa kutumia simu yako mwenyewe na trick kadhaa nitakazo zielezea hii leo. Njia ya pili ni ile ya kufuta password/security...
/pattern files kwenye Linux Operating System hii sitaizungumzia leo....



Onyo: Njia Hii Itafuta Kila Kitu Kwenye Simu Yako Na Kurudia Ilivyokuwa Mpya, Yaani bila Zile Application Ulizodownload Mwanzo..


Kwa Kutumia Njia Ya Kwanza Fanya Yafuatayo...

1. Hakikisha simu yako ina charge ya kutosha kama sio full kabisa.
2. Zima simu yako na utoe sim card yako(line) na memory card yako pia.
3. Bonyeza Kitufe cha kuongeza sauti kwenye simu huku ukibonyeza kitufe cha kuwashia simu, shikilia vyote kwa pamoja mpaka itakapo anza kuwaka.
Hii hutofautiana baina ya simu, kuna zingine unatakiwa kubonyeza kitufe cha home + kitufe cha kuwashia
4. Simu yako Itakupeleka sehemu itakayo kuwa na kama ifuatavyo katika picha
Kwa simu za Android ya kawaida utaota hivi


 Kwa Simu zingine utaona hivi hapa chini


5. Sasa tumia vile vitufe vya sauti kupandisha au kushusha kuelekea chaguzi unayoihitaji.
6. Nenda kwenye wipe data/factory reset kisha bonyeza kitufe cha kuwashia
   (Hapa Kitufe cha kuwashia kinatumika kwa kuchagua unachohitaji)
Kwa simu za kichina chagua ile chaguzi inayofanana na picha ya pili pale juu.
Kwa wataoona simu zao hazifanani na zile zilizopo juu tafadhari chagua factory reset unayoiona au wasiliana nasi kwa namba za simu zilizopo juu kabisa.
7. Baada ya hapo simu itafanya reset yenyewe . Ikishamaliza utaona imekuwa kama hivi hapa chini


8. Baada ya hapo chagua restart your phone kumbuka kutumia vitufe vya sauti kushusha au kupandisha na kitufe cha kuwashia kuchagua.
9. Simu yako itawaka bila kuuliza password,,,, Hongera Umefanikiwa

New Trick
Habari za wakati huu msomaji wa Blog yako pendwa ya Slaus Technologies Tz1 na Technology Homesite! Katika mfululizo wa makala za wiki hii, leo tutaangalia jinsi ya KUTUMIA  simu yako hio ya SmartPhone kama Mouse ya kompyuta.

FAIDA
>>>Hii inaweza kukusaidia pale ambapo hauna Mouse kwa ajili ya compyuta yako, au TouchPad ya Laptop yako haifanyi kazi! Yani inasumbua!

MAHITAJI
>>Utahitajika kuinstall program na App ntakazokupa hapa chini! Unaweza kutumia Apps mbalimbali na step ni hizihizi. Host file utaiinstall kwenye kompyuta yako na App utaiweka kwenye simu yako, halafu utaunga compyuta yako kwenye wireless ya simu yako au bluetooth! (Lengo la kuunga ni kuweka mawasiliano kati ya simu na kompyuta). kwa hio unaweza kutumia Bluetooth au Wireless! Zote ni sawa ila hapa nitaelezea Wireless.

HATUA KWA HATUA

1.  Download na install Monect kwenye simu yako HAPA!

Install Monect Portable


2. Kwenye PC yako download na install Monect Host kwa kuclik HAPA! File lina MB 28 tuu, kwa hio usiwasingizie Voda. Download na extract vilivyopo kwenye hio Zip File, na chagua lililoandikwa MonectHost, na uliinstall.


Download Host


KUMBUKA; Wakati unadownload hio host file, pc yako inaweza kukwambia kwamba hilo file ni Malicious, weka chagua keep file, ili kuweza kuendelea na step za mbele. See picture here>

Chagua Keep

>Na pia windows firewall inaweza ikakupa alert, we chagua Allow Access.

Allow Access

3.
Hakikisha simu na kompyuta yako umeviunganisha kwa Wi-fi. Kwenye simu nenda Setting>>>Mobile Networks>>>Tethering and Portable Hotspot, weka settings hapo then iweke ON, na uiunge kwenye PC yako.

4. Tufanye sasa kompyuta na simu yako zipo kwenye Wireless moja, na hio MonectHost umeifungua kwenye kompyuta yako, ifungue ile Monect App ya simu na chagua/click Search Host,ikitokea IP adress ya PC yako Connect. Kama unaijua IP ya compyuta yako, unaweza kuiingiza moja kwa moja. Kama inakataa ku connect, jaribu ku restart kompyuta yako na uhakikishe MonectHost umei install vizuri.

IP itaonekana ya PC yako

5. Ikishakuwa connected utaona options mbalimbali 12. Kila moja ina kazi yake, leo tutatumia Touch Pad, sababu ndio lengo la makala hii. Tazama picha hapa chini.

Options mbalimbali

6. Touch Pad inaifanya simu yako kuwa kama ile Mouse ya Laptop (TouchPad) na inakuwa sehemu ya kutembeza vidole, ku right click, ku scroll ,a ku select kama mouse ya kawaida. Kwa hio ifanyie mazoezi na utakuwa na uwezo wa kuitumia kwa umbali wowote ambapo Wireless itakuwa bado ipo connected.



7. Pia kuna options mbalimbali ambazo unaweza pia kuzitumia hapo.

Jifunze kuzitumia zote hizi

Kumbuka utaalamu huu umeletwa kwenu kwa ushirikiano wa Technology Homesite na Slaus Technologies Tz1 Team, na kama una swali usisite kutuandikia hapo chini kwenye comments, au wasiliana nasi kwaa njia hizi HAPA!

SOMA MAKALA NYINGINE KAMA HIZI HAPA!


As we all know WhatsApp is know showing the blue check marks which lets senders know the recipient has read the message. This particular feature has an advantage as well as disadvantage.
The advantage is you will know whether the receiver has read the message or not. But at the same time, the disadvantage is if you do not reply to the sender right away, the sender may feel awkward and will assume that you have ignored them.
To avoid such awkward situations, here are few simple methods you can use to read WhatsApp messages without alerting the sender’s attention to their action by triggering the blue ticks.

If you’re an Android phone or tablet user and want to print files such as pictures, email, or documents, on your Android device, then you can do it easily with the help of Cloud Print app.
Cloud Print is a free android app developed by Google that lets you print directly from your Android phone. It supports most printers but for the best experience, a Cloud Ready printer is recommended. These types of printers can directly connect to the Internet and don’t need a computer for it to work. A full list of cloud-ready printers can be found on the Google website.
If your printer doesn’t have cloud capabilities, you can still connect your classic printer to Google Cloud Print via your computer. For this to work, you will need to add your printer to Cloud Print.

Whether you chat with friends on Skype, or make video recordings, you’ll need a good microphone. However, not every computer comes with a built-in mic. If you happen to need a microphone on your computer but for some reason you don’t have one, your Android device can comes in handy. You can use it as a wireless mic via WI-Fi or Bluetooth, or connect it to your computer through a USB cable.
In order to turn your android device into a microphone, you’ll need to install a tiny app called WO Mic on your Android phone. This app supports all three connectivity options, USB, WiFi, and Bluetooth. Below are the steps on how you can use your Android device as a microphone using Wo Mic app:


Image result for us number whatsapp
New WhatsApp trick ziko hapa
HATUA KWA HATUA! 
Weka MB zako sawa then fuatana nami hapa....

1. Download na Install application hii  (Primo) HAPA!

2. Baada ya ku install, ifungue hio App, na kamilisha usajili wako, (Sign Up), halafu ita verify kwa kutumia number yako ya simu ya kawaida.

Make your Whatsapp account with USA Number latest 2016

3. Baada ya kukamilisha verification process, click sehemu ya juu kushoto ndani ya hio App, chini utaona namba yako ya USA, iandike mahali kwa sababu ndio utaitumia kwenye WhatsApp. 
Angalia picha hapa chini!
Make Whatsapp USA Number primo app free download

4. Baada ya kuichukua hio namba, sasa fungua WhatsApp, weka namba yako ya USA, halafu click Verify.

Make Whatsapp USA Number create now

5. Kama unatumia Android, click Call button, kama unatumia iPhone subiri dakika 5 button ya Callitatokea, i click halafu utapigiwa simu kupitia PRIMO, iandike hio verification code  kama kawaida.
Make Your WhatsApp with USA Number 2016 latest method

6. Ingiza hio verification number WhatsApp, then hapo utakuwa umeingia kwenye list ya wajanja wa mjini!

Je, Ulikuwa unaijua hii?? Tupia comment yako hapo chini! See you

Medson

{facebook#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {twitter#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {google-plus#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL}

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget