Baada ya maombi mengi ya wanatechnology kujua jinsi ya kufungua blog,kuweka temlate pamoja na kufanya editing kuifanya blog yako iwe na vigezo vya kuwa approved na google adsense na kwenye mfululizo wa hizi video tutpiatia vitu vifuatavyo
jinsi ya kufungua blog from blogspot host
jinsi ya kuweka template
jinsi ya kuweka standalone pages(about us,contact us,disclaimer,sitemap)
jinsi ya kuweka navigation menu
jinsi ya kuweka slider menu
jinsi ya kuweka picture slider menu
SEHEMU YA 01(KUFUNGUA NA KUWEKA TEMPLATE)
SEHEMU 02 (KUWEKA STANDALONE PAGES)
About us page
Contacy us page
Disclimer page
sitemap page
SEHEMU 03 (JINSI YA KUWEKA SLIDE PICTURE)
Wanatechology leo najibu swali la wengi wakiuuliza jinsi ya kuweka picha zinazojibadilisha kwenye blog homepage sasa majibu hayo apo chini angalia video hyo kama unaswali uliza hapa chini kwenye comment box