kozi hii itakupa tutorials mbili tu kama free. inahusu namna ya kutengeneza logos, banners, flash script, animations, movies, pamoja na kutumia software ya "corel Draw" kujifunza kozi hizi utatakiwa kulipia kwa kubonyeza kitufe cha ""register now"
kwa free tutajifunza tutorials mbili kwa kutumia software ya "picasa" pakua software hii kwa kubonyeza "download" kisha install kwenye PC yako. kisha baada ya siku chache tutorial zake utazikuta hapa. tutorials utazikuta baada ya muda wa masaa yafuatayo kuisha (now count) NOTE: hii sio advanced graphics design / hadi utapolipia. kwa free subiri tutorial mbili tu zitakua active kulingana na masaa yaliyobaki
Post a Comment
Nahitaji kujua ada yake ni Tsh ngapi