How to find the suitable keyword (SEO) swahili video no 6

Ndugu wanatechnologia baada ya kuona na kujifunza google algorithm updates mbalimbali na kuona ni jinsi gani tunajiaandaa kurekebisha blog na website zetu.

Nakuletea mwendelezo wa somo la SEO sehemu ya 06 ambako tutajifunza vitu vifuatavyo


  • jinsi gani unaweza ukatambua maneno ya kutumia katika kichwa cha post yako kwa ajili  ya kuongeza viewers wengi
  • pia tutaona search engine wanaitaji nn ili waweze kukurank katika nafasi za juu yaani website yako ionekane katika page ya kwanza kwenye search engine kama google,bing na zingine
  • kama wewe mmiliki  wa website na blog vitu gani ufanye ili uweze kupata keyword nzur na kuwa high rank
TUJIFUNZE KATIKA HII LECTURE NO 06


Labels:

Post a Comment

Medson

{facebook#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {twitter#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {google-plus#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL}

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget