Kwa Hali ya Sasa Kumekuwa na Blogs nyingi za Kiswahili ambazo mbali na kujitahidi kupata Akaunti za Adsense bado wanakabiliwa na Changamoto Kubwa ya Matangazo yao Kutooneka, Hii Inatokana na Google Adsense Kuto Support Lugha yetu ya Kiswahili katika Kuratibu Uonekanaji wa Matangazo katika Site Husika.
Leo Ntakupa Mbinu ambayo Itakufanya Ads ziendelee Kuonekana Japo Una Tumia Lugha ya Kiswahili katika Blog Yako.
Binafsi sio Mtaalam sana wa Mambo ya Codes, Ila nimekubali kujifunza na kujisomesha mtandaoni kwa kadri ya Uwezo wangu. Hivyo Nitakuomba Uridhike na hiki kidogo nitakachokupa leo nawe usisite kuitafuta elimu ya kujazia Sehemu Nyingine kwani ELIMU HAINA MWISHO.
Tukirudi katika Mada yetu, Hatua za Kufuata ili Matangazo yaweze Kutokea Katika Site za Lugha ya Kiswahili:-
1. Ingia kwenye Dashboard yako ya Blogger,
Nenda Mpaka kwenye Template, Click Customize Ili Ikupeleke kwenye Edit Css
Baada ya Hapo Nenda Kwenye Tab ya Advanced halafu Add CSS, Hapo Utaingiza Codes za Design Hii kisha Una Apply to Template Halafu Unarudi Kwenye Blogger Template Tena.
Weka Codes Hizi za Rangi Nyekundu hapo Juu
{
google_language = "en";
}
2. Hatua ya Pili
Unaenda
kwenye Blog Dashboard yake unaingia Template halafu Unabonyeza Edit
HTML, Ikifunguka Bonyeza mouse yako kwenye code za template kisha
bonyeza CTRL+F (Amri ya Kutafuta) Ndani ya Kibox cha Kulia Juu kwenye
Codes za HTML utaingiza Codes Hizi halafu Bonyeza Enter. Chini ya Head Utaingiza Codes Hizi Hapa { } Kisha Una Save.
Nia Na Madhumuni ni Kuilazimisha Site Yako Kwenye Meta Tags Iitambulishe Kama Ni Site.Blog inayotumia Lugha ya Kiingereza. N.B. Unaweza Ukaweka Mara nying hii Meta Tag kwenye Blog yako though Mimi nakushauri Usizidishe mara 3.
3. Hatua ya Tatu ni Kuandaa Page ya Privacy Policy.
Hapa Utaenda Kwenye Dashboard yako Kisha Utaingia Sehemu ya Pages, Uta Create Page ya Privacy Policy Kisha Utaandika Maneno angalau Paragraphs 4 kuhusiana na Site yako na Vile Ambavyo hautohusika n Comments mbaya kutoka kwako au Wasomoaji wako, Kisha Unai Publish.
3. Hatua ya Tatu ni Kuandaa Page ya Privacy Policy.
Hapa Utaenda Kwenye Dashboard yako Kisha Utaingia Sehemu ya Pages, Uta Create Page ya Privacy Policy Kisha Utaandika Maneno angalau Paragraphs 4 kuhusiana na Site yako na Vile Ambavyo hautohusika n Comments mbaya kutoka kwako au Wasomoaji wako, Kisha Unai Publish.
Ukishai
Publish Unaenda Kwenye Layout katika Dashboard yako Ili Uchague wapi
Itakaa Hiyo Page ya Privacy Policy, Ingawa Ikakaa Juu Ni Bora Zaidi.
N.B Post za Nyuma kabla ya Kufanya Trick Hii zinaweza Zisioneshe Ads bali zitaanza Kuonesha zile zitakazokuja baada ya Trick Hii.
Kama
Njia Hii Haitaleta Mafanikio Kwako, Ingia Kwenye Ku Edit HTML tena,
Kisha Tafuta data:post.body, halafu tafuta Post Footer au Post Footer
Line 1 Kisha Uingize yale maneno ya Privacy Policy Humo.
Thanks
kwa Kuwa Nami, Kwa Maoni na Ushauri Usisite Kuwasiliana Nami.Niachie
maoni yako hapo chini nami nitayafanyia kazi kwa kukupa majibu kadri
nitakavyofahamu maswali yako.
Post a Comment
hizi code unaweka kabla ya kuweka template ya kudanlod au maaana kwenye tamplate uliodanload neno advance halilet effect
samahn tena kwa swali lingine, baada ya kuweka { } naweka kode zip au ulizoonyesha hapo juu baada ya head
Mbona kuna sehemu unasema ingiza code hizi hapa alafu huzitaji code zenyewe, na kuna sehemu umesema ingiza code hizi hapa chini lakini hakuna code badala yake code zipo kwa juu
unaweka code hizi
{
google_language = "en";
}
Nashangaa ukiweka hizocodes zinaonekana kwa nje ukiwa umeshasave kuonesha kwamba hazifanyi kazi
Nikifanikiwa nitakuja mkuu
Nikifanikiwa nitakuja mkuu