download cisco 3D packet tracer (Cisco Aspire Networking Academy)
program hii inampa uwezo mwanafunzi wa NETWORK CCNA / CCNP kupokea project kutoka kwa wateja na kufanyia kazi, program hii ni tofauti na ile ya kawaida (packet tracer v 7.0) ambayo hupokei project yoyote .......mwanafunzi lazima awe amefahamu kuhusu network devices, topology zote na configurations, na namna ya kuunga network kwa ISP na mengine mengi, kwa kuwa kazi utazopewa humo si kwamba ndo unaanza kujifunza hapana, utapewa project na kisha utapewa pesa kwenda kununua vifaa vya kazi na kufanya kazi husika. size= 270 mb compatibility: microsoft windows minimal hardware requirements (RAM >2GB) (VGA intel, nvidia) kupakua bonyeza hapa kujiunga na group bonyeza hapa
marufuku kuuza tutorial yoyote pindi ukijiunga kwenye group
|
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget
Post a Comment
Asante
Asanteeee sana mkuu