Jinsi ya kufanya google adsense youtube momentization

Ndugu msomaji wa makala hii uatakuwa ni mmoja wapo wa wamiliki wa youtube channel na unafikilia itakuingiziaje pesa au umejalibu kujiunga umeshindwa na kukata tamaa karibu upate suruhisho la tatizo lako hap

VITU VIFUATAVO UNATAKIWA KUWA NAVYO

  • gmail account
  • youtube channel inayokidhi vigezo vya google adsense policy kama zifuatazo:
  1. usitupie video za porno au picha zinazohusiana na hzo
  2. usiweke music video wa mtu mwingine bila ridhaa yake
  3. Weka video ulizotengeneza mwenyewe au kama ya mtu mwingine basi uwe umepata ruhusa kutoka kwake
  4. Video ambazo zinabackground ya music wa mtu mwenye umiliki hairuhusiwi weka music wako ulioutengeneza wewe au upate ruhusa
HATUA ZA KUFUATA KUFUNGUA ACCOUNT YA GOOGLE(GMAIL)
  • Fungua gmail account kwa kuingia google gmail na ufuate maelekezo jinsi ya kufungua account, kama ujaweza comment hapo chini ntakuelekeza jinsi ya kufungua gmail  account
  • Baada ya kufungua gnail, Ingia youtube.com

  • Juu mkono wa kulia kuna sehemu imeandikwa sign in bofya hapo na ujiunge kwa kutumia gmail account.
  • Baada ya kujisajili bofya hapo hapo utaona sehemu imeandikwa creator studio bofya hapo
  • Baada ya hapo utaona ujumbe flan hvi bofya "You must create a channel to upload videos. Create a channel"
  • Baada ya hapo weka majina ya youtube channel yako afu bofya create channel
  • Mpaka hapo utakuwa umefungua youtube channel kinachofuata ni setting za kawaida kama logo na moving logo ni vya kawaida kwa msaada wa  watu wa graphics disign
  • Kushoto pembeni bofya channel afu ingia kwenye momentization weka enable
  • Itafunguka page ya momentization clicks "Get started"
  • kubali kwa kuweka tiki kwenye vibox afu bofya "i accept"
  • Setup adsense account yako sasa, sign in kwa email uliyofungulia youtube account, chagua lugha kubali
  • utapata sms hii
Your AdSense application is being reviewed. You will receive an email about the status of your application soon.






HAPO SUBIRIA WATAKUTAARIFU KWA EMAIL KUWA WAMEKUKUBALIA,

TRICKS

INGIA ADMOB.COM SAJILI ACCOUNT KWA EMAIL HII AFU ANGALIA STSTUS UTAKUTA VERIFIED. ADMOB NI PLATFORM YA GOOGLE INAYOHUSIANA NA APP MOMENTIZE

KWA MSAADA COMMENT HAPA CHINI 



Labels:

Post a Comment

Nimejarubu kutumia Simu nimeshindwa, je utanisaidiaje?

Medson

{facebook#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {twitter#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {google-plus#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL}

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget