ADVANCED BLOG DESIGN....CREATE SLIDE PICTURE AND BLOG TEMPLATE lecture 14.



Hiyo ni lecture namba 14.  Advanced blog design....inahusu

Namna ya kuweka slides za picha kwenye blog....imefudisha ila  na wewe lazima uwe na elimu  ya code za HTML na JavaScript  na pia adobe Photoshop lazima itumike  kama inavyoonyesha
kwenye tutorial

Ni pale ambapo unaweka template kwenye blog yenye  slide za picha ....namna ya kutoa picha hizo na kuweka za kwako..,.mambo kadhaa lazima

1. Adobe Photoshop
2. HTML. Java script
3. Window paint tool
4. Image reference

Endelea na tutorial. Nakutakia siku njema.....ukikwama rejea madarasa yote ya nyuma  ya adobe. Na blog design  yapo 17......

Labels:

Post a Comment

Medson

{facebook#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {twitter#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {google-plus#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL}

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget