Tengeneza website wewe mwenyewe swahili video UPDATED 21/3/2017

Tengeneza website wewe mwenyewe  swahili video


PATA BLOG TEMPLATE YA BUREEEE

Baada ya maombi mengi ya wanatechnology kujua jinsi ya kufungua blog,kuweka temlate pamoja na kufanya editing kuifanya blog yako iwe na vigezo vya kuwa approved na google adsense na kwenye mfululizo wa hizi video tutpiatia vitu vifuatavyo

  • jinsi ya kufungua blog from blogspot host
  • jinsi ya kuweka template
  • jinsi ya kuweka standalone pages(about us,contact us,disclaimer,sitemap)
  • jinsi ya kuweka navigation menu
  • jinsi ya kuweka slider menu
  • jinsi ya kuweka picture slider menu


SEHEMU YA 01(KUFUNGUA NA KUWEKA TEMPLATE)




SEHEMU 02   (KUWEKA STANDALONE PAGES)


  • About us page
  • Contacy us page
  • Disclimer page
  • sitemap page





SEHEMU 03 (JINSI YA KUWEKA SLIDE PICTURE)


nnnnn

Wanatechology leo najibu swali la wengi wakiuuliza jinsi ya kuweka picha zinazojibadilisha kwenye blog homepage sasa majibu hayo apo chini angalia video hyo kama unaswali uliza hapa chini kwenye comment box


    


PIA KWA MASOMO MENGINE BOFYA HAPA CHINI





SEHEMU YA 04: ZUIA MTU ASICOPY POST ZA BLOG YAKO



HATUA


  • Fungua dashboard ya blog yako
  • ingia sehemu iliyoandikwa template
  • bofya add HTML
  • copy code hizo chini na paste kwenye HEAD section
<head>  code below...............</head>
<script type="text/javascript">

/***********************************************
* Disable Text Selection script- (c) Dynamic Drive DHTML code library (www.dynamicdrive.com)
* Please keep this notice intact
* Visit Dynamic Drive at http://www.dynamicdrive.com/ for full source code
***********************************************/

function disableSelection(target){
if (typeof target.onselectstart!="undefined") //IE route
target.onselectstart=function(){return false}
else if (typeof target.style.MozUserSelect!="undefined") //Firefox route
target.style.MozUserSelect="none"
else //All other route (ie: Opera)
target.onmousedown=function(){return false}
target.style.cursor = "default"
}

//Sample usages
//disableSelection(document.body) //Disable text selection on entire body
//disableSelection(document.getElementById("mydiv")) //Disable text selection on element with id="mydiv"

</script>

  • Baada ya hapo nenda had chini juu ya </body> past code hizi apa chini.

<script type="text/javascript">
var somediv=document.getElementById("mydiv")
disableSelection(somediv) //disable text selection within DIV with id="mydiv"
</script>
<script type="text/javascript">
disableSelection(document.body) //disable text selection on entire body of page
</script>

BAADA YA HAPO SAVE TEMLATE AFU INGIA JARIBU KUSELECT HAPO UTAKUWA UMEZUIA MTU KUCOPY POST ZAKO 
SEHEMU YA 05 (COMMING SOOOON)
  • Tabbed menu
  • drop down menu
  • labels/categories
  • contact form
  • kujiunga na search engine zote
  • kujiunga na google anaalytics
  • kuweka site map
  • kutengeneza keyword za website yako
  • kudownload full cracked blog template
  • kujiunga na adthis

COMMING SOOOOOOOOOOOOON!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!



COMMENT CHINI KAMA UNASWAHILI AU UNAITAJI MSAADA 

KAMA UNAITAJI HUDUMA HII TUKUTENGENEZEE NA KUKUUNGA GOOGLE ADSENSE WASILIANA NASI KUPITIA 0767176929
Labels:

Post a Comment

Medson

{facebook#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {twitter#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {google-plus#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL}

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget