kabla ya kuanza kuroot simu yako kutabatilisha warranty na muuzaji wako aliyekuuzia , pi root at your own risk i will not be hold responsible for any negative outcomes
ANDROID ROOTING NI NINI?
Ni mchakato
wa kuruhusu watumiaji wa smartphones, Tablet na vifaa vingine
vinavyotumia Oparetion sysetm ya android kupata uwezo kukiendesha kifaa
au simu ya android katika kiwango cha hali ya juu
Rooting mara nyingi hutumika kwa lengo la kuondo overcome limitations ambazo zimewekwa na watengenezaji wa vifaa vya android
FAIDA ZA KU-ROOT
Rooting ina
faida nyingi kama vile kubadiri ROOM, Kuinstall system installed app
ku install apps ambazo zinahitaji root access kama vile TITANIUM BACK
UP
JINSI YA KUROOT
Ku root
android devices kunatofautiana kati ya simu na simu , hapa nitakupatia
njia za ku root baadhi ya simu na baadhi ya vision za android
1) Huawei Idoes U8150
- wengi wetu tuna miliki simu aina hii HUAWEI IDOES U8150 simu ya aina hii ni rahisi sana fuata utaratibu huu
- download app inayoitwa z4root download z4root hapa http://search.4shared.com/q/1/z4root.apk
- kisha install z4root
- fungua z4root
- kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa PERMANENT ROOT
Natumai
tutakuwa tumepata mwanga japo kwa uchache kuhusu Rooting kwenye simu
zetu za android kama unaswali au maoni niachie hapo kwenye sanduku la
maoni
Post a Comment