SEO SWAHILI VIDEO TUTORIAL INTRODUCTION



  • Ndugu wanatechnology nimepata maswali mengi sana na imekuwa ni vigumu watu kuelewa ni jinsi gani unaweza kuongeza watu wa kuutafuta ukurasa wako kwenye search engine, pia sababu za watu wengi kukataliwa na makampuni mengi ya matangazo kwa kutokidhi viwango yaani ubora wa blog yake au website yake



  • technology homesite inalkuletea  makala hii ambayo iatajibu maswali yako mengi na kukufikisha kwenye malengo yako wewe mmiliki wa blog na website pia na video channels



  • Makala hii itatumia lugha mbili kiswahili na kiingereza kuweka kila kitu sawa kinachoeleweka vizuri. Makala hii inawahisu wote wanaoanza na maproffecional katika nshu za website/blogs




  • Makala hii itakuitaji uwe na utaalamu mdogo wa mambo ya internet yaaan japo kujua kuingia google na html kidogo japo sio lazima saana tutaenda swa 

Makala hii itagawanyika kwenye vipengele hivi 

  • Search Engine Optimization such as black and white SEO techniques
  • how search engine works
  • SEO market research
  • On Page Optimization
  • SEO Page Title
  • SEO Meta Description
  • SEO Meta Keywords
  • SEO Headings
  • SEO Optimized Domain
  • SEO Canonical Tag
  • SEO Meta Tags
  • Miscellaneous 
  • Meta TagsOpen Graph Meta Tags
  • SEO ImagesSEO Internal linkSEO Site Map
  • SEO Hidden TextSEO Web HostingS
  • EO Robots Meta Tag
  • SEO 301 Redirect
  • SEO 404 error
  • content research
  • On Page Optimization techniques
  • Off Page Optimization techniques
  • Social Media Optimization
  • SEO Tools   na zingine tutajuzana tunavoendelea

USIHOFU KUHUSU LUGHA HAPO JUU TUTAZIELEZEA MOJA BAADA YA NYINGINE NA NI NYINGI SIJAZIANDIKA HAPO 

Problems


Kama mwanatechnology utakuwa hujaelewa sehemu usisite kuuliza hapa chini kwenye comment box pia maoni na mchango unaruhusiwa kuendeleza

Njia za uwasilishaji: 


KUTOKANA MAKALA HII KUWA NDEFU NA INAITAJI UFAFANUZI MZURI TUTATUMIA SWAHILI VIDEO ONLY  NA ZITAKUWA KATIKA SERIES KUANZIA MWANZO HADI MWISHO.


HAIRUHUSIWI KUCOPY TUTORIAL ZITAKAZOANZA KUWEKWA HAPA AU KUUZA SHARE LINK ILI MWENZAKO APATE ELIMU NI BURE BILA MALIPO.

MTOA MADA: MEDSON NAFTAL (MEDTECHNICS)
                           0715196071
REFERRENCE BOOK






Download
click to download
7.OMB PDF
Labels:

Post a Comment

Medson

{facebook#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {twitter#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {google-plus#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL}

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget