Ndugu wanatechnology leo nawaletea mwendelezo wa makala yetu ya SEO, Leo tunaenda kuangallia google algorithm updates toka mwaka 2003 hadi 2016 ambako tutaona wameweka nini kwenye search engine yao mabayo inafanya kuwa bora kuliko search engine zingine.
Pia tutona kuwa je hizo updates zinatuhusu vipi sisi wamiliki wa blog na website na ni jinsi gani na sisi kuupdates website na blog zetu ili tuenadane nao kwa nia ya kufikia malengo yetu.
Najua kila mmiliki wa website na blog atakuwa na malengo ya mwisho ya kupata pesa na ndio muhimu kwa hyo unatakiwa kuzielewa vizur hizi updtaes ili ufikie malengo yako
Najua kuna wengi wanania ya ya kujua mapema kuusu kujiunga nao Ushauri ni kuwa fuatiliana nami kuanzia lecture ya kwanza hadi ya mwisho utakuwa na uelewa mkubwa kuliko kujiunga leo afu usijue jinsi ya kufanya kwa hyo kuwa mvumilivu twende pamoja somo ni lefu ila vuta subira tukifika mwisho utakubali mwenyewe kwamba tunafanya makosa sana katika hii idara ya website na blog
ANGALIA LECTURE NO 05
USISAHAU KUSUBSCRIBE KWENYE HII CHANNEL
Post a Comment