Ndugu msomaji wa makala hii uatakuwa ni mmoja wapo wa wamiliki wa youtube channel na unafikilia itakuingiziaje pesa au umejalibu kujiunga umeshindwa na kukata tamaa karibu upate suruhisho la tatizo lako hap
VITU VIFUATAVO UNATAKIWA KUWA NAVYO
gmail account
youtube channel inayokidhi vigezo vya google adsense policy kama zifuatazo:
usitupie video za porno au picha zinazohusiana na hzo
usiweke music video wa mtu mwingine bila ridhaa yake
Weka video ulizotengeneza mwenyewe au kama ya mtu mwingine basi uwe umepata ruhusa kutoka kwake
Video ambazo zinabackground ya music wa mtu mwenye umiliki hairuhusiwi weka music wako ulioutengeneza wewe au upate ruhusa
HATUA ZA KUFUATA KUFUNGUA ACCOUNT YA GOOGLE(GMAIL)
Fungua gmail account kwa kuingia google gmail na ufuate maelekezo jinsi ya kufungua account, kama ujaweza comment hapo chini ntakuelekeza jinsi ya kufungua gmail account
Baada ya kufungua gnail, Ingia youtube.com
Juu mkono wa kulia kuna sehemu imeandikwa sign in bofya hapo na ujiunge kwa kutumia gmail account.
Baada ya kujisajili bofya hapo hapo utaona sehemu imeandikwa creator studio bofya hapo
Baada ya hapo utaona ujumbe flan hvi bofya "You must create a channel to upload videos. Create a channel"
Baada ya hapo weka majina ya youtube channel yako afu bofya create channel
Mpaka hapo utakuwa umefungua youtube channel kinachofuata ni setting za kawaida kama logo na moving logo ni vya kawaida kwa msaada wa watu wa graphics disign
Kushoto pembeni bofya channel afu ingia kwenye momentization weka enable
Itafunguka page ya momentization clicks "Get started"
kubali kwa kuweka tiki kwenye vibox afu bofya "i accept"
Setup adsense account yako sasa, sign in kwa email uliyofungulia youtube account, chagua lugha kubali
utapata sms hii
Your AdSense application is being reviewed. You will receive an email about the status of your application soon.
HAPO SUBIRIA WATAKUTAARIFU KWA EMAIL KUWA WAMEKUKUBALIA,
TRICKS
INGIA ADMOB.COM SAJILI ACCOUNT KWA EMAIL HII AFU ANGALIA STSTUS UTAKUTA VERIFIED. ADMOB NI PLATFORM YA GOOGLE INAYOHUSIANA NA APP MOMENTIZE
kwanini hard disk drive inaonekana imejaa na kuna data chache tu ndani yake, je tatizo ni nini haswa ? karibu kuangalia tutorial hii kwa lugha ya kiswahili: imeandaliwa na: shamir suleman youtube: shamir suleman
phone: +255656848274 dodoma Tanzania ( prohibited to sell) 2017
tutorial is prepared by: shamir suleman +255-656-848274 Dodoma Tanzania
Debut Video Capture Software enables you to record video from any image source on your PC, be it the screen itself or a USB video device connected to your computer, such as a digital video camera or a webcam.
Debut Video Capture Software is very easy to use: its interface offers a preview of what will be recorded, although in the case of screen recording, this is pretty confusing as the image repeats itself ad finitum. Besides that, everything in Debut Video Capture is controlled with three simple buttons (record, pause and stop) so that gives you an idea about the simplicity of the program.
Recordings can be done in a variety of formats, and each one has its own configuration settings. An interesting option is the possibility to download related programs from the same developer. Debut Video Capture also enables you to email the videos or upload them to an FTP server right after recording them. However, we did miss an embedded player with which to revise our recordings.
Debut Video Capture Software is a basic video recorder for your PC, and while it's not perfect, it will allow you to capture screencasts and incoming video
Debut Video Capture Software supports the following formats
Najua kila mtu akifikia uamuzi wa kufungua blog au website lazima awe na malengo fulani na kikubwa zaidi huwa anafikilia baadae imlipe hiyo website/blog. kitu cha kwanza huwa wanaangalia jinsi gani anaweza kujiunga na adsense na akakubaliwa ili aweze kuingiza pesa. mara nyingi blog nyingi za kitanzania zinakataliwa kutokana na kutokuelewa vizuri vigezo vya kujiunga na hili campany kubwa duniani.
ADSENSE NI NINI?
Adsense ni campany ambalo linajiuhhusisha na kushapisha matangazo na kuyatangaza kwenye blog na website duniani. Ni campany linalomilikiwa na google ndio maana kwenye blogspot wameweka ta yao ya kujiunga moja kwa moja.Ni campany ambalo linalipa vizuri na halina longolongo katika kulipa.
HATUA ZA KUFUATA ILI KUHAKIKISHA WANAKUKUBALIA KUWEKA MATANGAZO YAO KATIKA BLOG/WEBSITE YAKO.
KUTAMBUA VITU WANAVOVIITAJI NA AMBAVYO HAWAITAJI
KUFANYA APLICATION
KUWEKA ADS CODE KWENYE WEBSITE YAKO
KUFUATA SHERIA ZAO ILI KUHAKIKISHA HAWAKUZUII
KUFANYA APPLICATION YA PESA
TAMBUA ADSENSE TERMS AND POLICY
Ndugu msomaji wa makala hii najua unajiuliza kwa nini nimeanza na hili? Kwa sababu nahitaji tujue campany linataka nini na halitaki nini ili unapoiangalia website yako unajua kuwa imekidhi vigezo aua laa.
TERMS AND POLICY KABLA HUJAJIUNGA(Technical requirements)
Kutokana na google kuwa ni kampuni bora kwa advertiser na kuwathamini pia limeweka sheria zifuatazo ambazo website yoyote lazima ifuate ili waikubalie.
Use supported languages
Ndugu msomaji inatakiwa website yako itumie lugha ambazo adsense wameziruhusu ili kuweka matangazo yao hadi sasa bofya hapa kuona lugha hizo adsense supported language
Prohibited content
Ndugu msomaji wa makala hii inatakiwa website yako isihusike na vitu vifuatavyo
adult content(pornography),
website inayochochea ugomvi (politics),
website inayohusu madawa ya kulevya,
Website inayohusu pombe na sigara
Website inayohusiana afya-inayouza dawa zisizo thibitishwa,kutoa ushauri wa kupotosha, kuuza dawa online
Hacking and cracking content - Haitakiwi kuhusika na kucrack na kuhack any thing so haziluhusiwi website za namna hyo
Pages that offer compensation programs-Hitakiwi website yako iwe inatoa ahadi kwa malipo atakayetembelea,atakaye bofya ads hizo hazitakiwi kabisa
Kushawishi kwa matangazo ya uongo- Hizi website haziruhusiwi kabisa inatakiwa kuwa mkweli na mwaminifu katika website yako
Picha za kutisha kama kuvunjika mfupa,ajali mbaya,nguo za kubana,fupi,picha za kupigana,groly video kwa hiyo wanaruhusu boxing na martial arts page tuu
Website ambayo inahusika na silaha kama visu,bomb,bunduki haziruhusiwi
Website ambayo inahusika na kugushi document mbalimbali kama vitambulisho,vyeti
Website ambayo inahusika na vitu ambavyo sio halali kama kuuza bidhaa ambayo inatrade mark ya mwingine,maswala ya sex arts hizi website haziruhusiwi kujiunga
Copied Images
Google hawatakukubalia kama website yako inaimage ambazo umecopy kutoka google search, kwa hiyo wanaitaji picha halisi ulizopiga wewe mwenyewe.
Too much Ad networks
Kabla kujiunga hakikisha unaondoa ads zote za makampuni mengine ndipo ujiunge, Hii ni kwa sababu wanaogopa kuwa hata wakikubalia ads zao hazitaonekana kutokana na kuwa ads nyingi.
Sufficient Content
Website yako inatakiwa kuwa na post kuanzia kumi ulizoziandika mwenyewe na ziwe ndefu zisizokuwa na picha nyingi. Na avoid kucopy post nyingine na kuweka kwako inatakiwa uandike hizo posti ndipo wanaweza kukuballia
Domain Type and Age
Website yako inatakiwa iwe na domain ya kulipia na sio free kama .com na zingine sio blogspot japo hili sio lazima sana lakini ukihitaji wakukubalie haraka nunua dommain, Habari ya domain age ni kwa nchi kama india ndio wanafuata sana ambapo wanaitaji iwe imetimia miezi 6
Age Verification
Unatakiwa uwe na miaka kuanzia 18 na kuendelea ndipo ujiunge na kampuni hili
Traffic
Website yako inatakiwa kuwa na pageviews 50per day ndipo wanaweza kakakubalia
Relevants pages
Google adsense wanaitaji website yako iwe na pages zifutazo zilizoandikwa vizuri na kwa ukweli wa hali ya juu kwa sababu wanazisoma Privacy policy, disclaimer, about Us and contact forms. Kwemye hizo page tafadhari kama utaweka email weka email uliyojisajilia google ili wajue kuwa ni mtu halali. mfano click here kuona mifano ya hizo pages na jinsi zilivoandikwa KAMA WEBSITE YAKO HAINA HIZI KAMWE HAIWEZI KUKUBALIWA
Poor navigation
Website yako inatakiwa imuwezeshe na kumrahishisia mtembeleaji kuona content zako bila usumbufu na epukakutumia rangi kwenye blog post tumia black and white
Youtube Momentization
Hakikisha unapost video kwenye website yako ambazo umemomentise kwenye channnel yako kama hujamomentise usipost kwa sababu hawatakukuballia kamwe jinsi ya kumomentise tutaanda makala yake.
MUHIMU:HAKIKISHA WEBSITE YAKO INAKUWA SAFI NA HAINA MARANGI YANYOONEKANA
MAKALA ZINAZOFUATA
jinsi ya kujiunga(hatua)
jinsi ya kumomentise youtube video
kupitia terms na policy baada ya kukubaliwa
jinsi ya kuweka adsense code(blogs,wordpress,durplar)
jinsi ya kudownload adsense blog templates supported
jinsi ya kujiunga na paypal ili kuweza kupokea malipo
jinsi ya kuchanganya adsense codes na za makampuni mengine
jinsi ya kuongeza mapato yako yaani tricks mbalimbali
n,k
KWA MAONI AU SWALI ULIZA KWENYE COMMENT BOX NA NTAKUJIBU KWA UFASAHA
Habari za wakati huu msomaji wa Blog yako pendwa ya Slaus Technologies Tz1 na Technology Homesite! Katika mfululizo wa makala za wiki hii, leo tutaangalia jinsi ya KUTUMIA simu yako hio ya SmartPhone kama Mouse ya kompyuta. FAIDA
>>>Hii inaweza kukusaidia pale ambapo hauna Mouse kwa ajili ya compyuta yako, au TouchPad ya Laptop yako haifanyi kazi! Yani inasumbua!
MAHITAJI
>>Utahitajika kuinstall program na App ntakazokupa hapa chini! Unaweza kutumia Apps mbalimbali na step ni hizihizi. Host file utaiinstall kwenye kompyuta yako na App utaiweka kwenye simu yako, halafu utaunga compyuta yako kwenye wireless ya simu yako au bluetooth! (Lengo la kuunga ni kuweka mawasiliano kati ya simu na kompyuta). kwa hio unaweza kutumia Bluetooth au Wireless! Zote ni sawa ila hapa nitaelezea Wireless.
HATUA KWA HATUA
1. Download na install Monect kwenye simu yako HAPA!
Install Monect Portable
2. Kwenye PC yako download na install Monect Host kwa kuclik HAPA! File lina MB 28 tuu, kwa hio usiwasingizie Voda. Download na extract vilivyopo kwenye hio Zip File, na chagua lililoandikwa MonectHost, na uliinstall.
Download Host
KUMBUKA; Wakati unadownload hio host file, pc yako inaweza kukwambia kwamba hilo file ni Malicious, weka chagua keep file, ili kuweza kuendelea na step za mbele. See picture here>
Chagua Keep
>Na pia windows firewall inaweza ikakupa alert, we chagua Allow Access.
Allow Access
3. Hakikisha simu na kompyuta yako umeviunganisha kwa Wi-fi. Kwenye simu nenda Setting>>>Mobile Networks>>>Tethering and Portable Hotspot, weka settings hapo then iweke ON, na uiunge kwenye PC yako.
4. Tufanye sasa kompyuta na simu yako zipo kwenye Wireless moja, na hio MonectHost umeifungua kwenye kompyuta yako, ifungue ile Monect App ya simu na chagua/click Search Host,ikitokea IP adress ya PC yako Connect. Kama unaijua IP ya compyuta yako, unaweza kuiingiza moja kwa moja. Kama inakataa ku connect, jaribu ku restart kompyuta yako na uhakikishe MonectHost umei install vizuri.
IP itaonekana ya PC yako
5. Ikishakuwa connected utaona options mbalimbali 12. Kila moja ina kazi yake, leo tutatumia Touch Pad, sababu ndio lengo la makala hii. Tazama picha hapa chini.
Options mbalimbali
6. Touch Pad inaifanya simu yako kuwa kama ile Mouse ya Laptop (TouchPad) na inakuwa sehemu ya kutembeza vidole, ku right click, ku scroll ,a ku select kama mouse ya kawaida. Kwa hio ifanyie mazoezi na utakuwa na uwezo wa kuitumia kwa umbali wowote ambapo Wireless itakuwa bado ipo connected.
7. Pia kuna options mbalimbali ambazo unaweza pia kuzitumia hapo.
Jifunze kuzitumia zote hizi
Kumbuka utaalamu huu umeletwa kwenu kwa ushirikiano wa Technology Homesite na Slaus Technologies Tz1 Team, na kama una swali usisite kutuandikia hapo chini kwenye comments, au wasiliana nasi kwaa njia hizi HAPA!
tutorial hizi zimeandaliwa kufundisha sehemu ndogo ya network routing: tutorials hizi chache zinatolewa bure, kwa tutorial ambazo ni advanced. kama ""connecting networks"" na nyingine za CCNP utabonyeza kitufe cha "register" na hizo utalipia -si ruhusa kuuza au kunakili sehemu yoyote ya tutorial hizi -si ruhusa kukata kipande katika sehemu ya tutorial hizi kuona tutorials hizi ni kwamba umekubali kanuni tajwa hapo juu. bonyeza " AGREE" kuendelea
kwa notes na uchambuzi wa vitabu na zone papers tembelea hapa GO
ifuatayo ni program live android ya wanafunzi wa sekondari tanzania kidato cha nne na sita . ikiwa kwenye mfumo program ya simu : imezuiliwa kupakua SETUP . pakua uchambuzi wa fasihi simulizi, baadhi ya mitihani ya mock, na mitihani ya taifa........ tafadhari toa maoni yako hapa
si ruhusa kuuza mitihani hii: imetolewa bure
ni ruhusa kukopi na kuweka kwenye web yoyote
kwa notes na uchambuzi wa vitabu na zone papers tembelea hapa GO
imeletwa kwenu na :
shamir suleman
shamilysaidi@gmail.com
+255-656-848274
click "HOME" for font interface click icons to view contents click "download" to download
DOWNLOAD FOR COMPUTER
kwa notes na uchambuzi wa vitabu na zone papers tembelea hapa GO
ifuatayo ni mitihani ya wanafunzi wa sekondari tanzania kidato cha nne na sita kuanzia 1990. ikiwa kwenye mfumo program ya computa na PDF : imezuiliwa kufanya biashara (si ruhusa kuuza) tafadhari toa maoni yako hapa
course for only tanzanian / or east africa students
karibu kujiunga na group la wasap kujifunza kozi zifuatazo zipo tano kwa shilingi elfu tano tu:
lengo ni kutoa elimu kwa wafanyakazi ambao wanapambana na changamoto kadhaa katika masuala ya information technology, pamoja na wanafunzi kuwaongezea ufahamu zaid, tumeweka gharama ndogo sana ambayo haifanani na uzito wa elimu itayotolewa ili kila mmoja aweze kumudu. masomo yanaendeshwa kwa vitendo ni vema mwanafunzi awe na computer kwa ajili ya mazoezi.....
baada ya kujisajiri hapa na kisha utalipia kwenda namba 0656 848274 tigo pesa tu: kisha utaunganishwa kwenye group. jisajiri kwanza
join our temporary whatsap group (its not group for course) join
prepared by: shamir sulaiman all right received
+255-656-848274 shamilysaidi@gmail.com
tanzania -dodoma
register here for more tutorials
namna ya kutafuta drivers za komputa kama
-audio drivers
-graphics drivers
-network card drivers
namna ya kujiunga na google addsence
kwa ajili ya blogs
namna ya kutengeneza android apps bila code
lecture one
namna ya kutengeneza android apps bila code
lecture two
windows recovery
namna ya kufanya window troubleshooting
fanya back up google drive
namna ya kutengeneza download link (html)
namna ya kuweka audios na videos kwenye server
namna ya kutengeneza link na kushea kwenye blog
namna ya kurejesha gmail account
ambayo imesahaulika password
namna ya kutengeneza create pdf
kutoka word, au ppt au publisher au excel
kwenda pdf na kuweka password kwenye file
namna ya kutengeneza bootable flash au CD
windows installation requirements
customer requirements
hardware compatibility
windows editions
processor architectures
namna ya kuondoa password kwenye computa
kuingia kwenye computa yenye password kama
password imesahaulika
download software hiyo hapa kisha tengeneza kuwa bootable katika
flash. kujua namna ya kutengeneza bootable rejea darasa la juu download image