Competitors' Website Analysis (SEO) swahili video lecture no 7
Baada kuangalia jinsi ya kuandaa keyword nzuri kwa ajili ya ya kichwa cha post yako ili kuwa rank kwa nafasi ya juu hasa page ya kwanza ya search engine
Leo nakuletea mwenelezo wa somo letu la seo ambapo tutaenda kuona analysis inavyofanywa na kuweza kutambua jinsi gani mnaweza mkashindana na website nyingine zinazofanan na zako ili uweze kupata nafasi ya juu kwenye search engine (SWOT ANALYSIS)
SEHEMU YA 07